.

.

Diamond Ame Copy na kupaste Kutoka Kwenye Video Hizi Hapa.

Baada ya Diamond Platnumz kuachia video ya aliyowashirikisha kina P Square, watu wengi wameikosoa video hiyo kuwa ni Copy and Paste kutoka kwa wasanii wa Marekani. Tazama video hapa chini kuona namna wanavyofananisha.

No comments

Powered by Blogger.