.

.

Hivi ndivyo, Justin Bieber, alivyo pokea ofa ya kucheza filamu yenye sehemu imtakayo kupigana mabusu na mwanaume

Justin Bieber amepewa ofa ya kucheza kama staa wa pop kwenye filamu ya Hollywood iitwayo ‘Uber Girl’ lakini ameikataa, labda kama ikirekebishwa.
“Hawezi kushiriki labda kama sehemu za mapenzi anazotakiwa kuigiza na mmoja wa dancers wake ikitolewa,” mwandishi mwenza wa filamu hiyo Pete O’Neill ameuambia mtandao wa Page Six.
O’Neill amedai kuwa anataka pia kuwashirikisha mastaa wengine wakiwemo Selena Gomez na Ariana Grande.

No comments

Powered by Blogger.