.

.

Picha: Hivi ndivyo ujauzito wa Jokate Mwegelo unavyo onekana kwa sasa

Kumekuwa na tetesi kwa muda kuwa Jokate Mwegelo ana ujauzito huku akiwa hapendi sana kuuonyesha hadharani, Lakini kwenye picha hii aliyo iweka IG inaonyesha jinsi ujauzito wake unavyo onekna huku yeye akiwa ameipa caption isemayo “For the ❤️ of mirror selfies. Nanight loves.

No comments

Powered by Blogger.