.

.

Wizkid anatoka na mtoto huyu kwa sasa?

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 26 time hii alifanya mitandao ya kijamii kuwa ya moto kwa story iliyo trend siku ya Africa Music Fest ambayo ilifanyika siku ya ijumaa,July 22, 2016 pale Barclays Centre New York,nchini marekani kwamba anatoka na mrembo mwenye asili ya marekani anayekwenda kwa jina la Justin Skye . Mnamo (July 25, 2016) Wizkid alishare picha inayomwonyesha yeye na mwanadada huyo Justine Skye na kuandika"No questions!"

No comments

Powered by Blogger.